Baada ya Kuona Kila Sehemu ni Ovyo,Chadema Waufufua UKUTA rasmi..!!!


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa huu ni wakati muafaka wa kuendeleza maazimio ya Ukuta kwa sababu waliyoyatabiri ndiyo yanayotokea sasa.

Akizungumza na waandishi wa habari makamu mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Abdallah Safari amesema lengo la ukuta lilikuwa endelevu nz lenye lengo la kukemea udikteta nyemelezi.

Alisema yale yaliyokuwa yakipingwa ndiyo yanajitokeza sasa, hivyo ni wakati wa kuuamsha kwa nguvu moja.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahah! Ukistaajabu-ya-Musa-utayaona-ya-firauni!
    Mnatafuta 'kiki' kwa nguvu zote, msisahaulike-ama-nene??? tehe-tehe-teheheheh!
    Hamjayaoga maji ya washa-washa muda mrefu sio......MLIPO, TUPO

    ReplyDelete
  2. wamemwaga mboga! na nyie mwageni ugali.

    ReplyDelete
  3. Plofesa Abdala Safali..sisi tulisikia wewe umesafili kwenda Kule kwa zamani..je usaludi? Sema tukuje kukutembelea

    ReplyDelete
  4. Kkijiweni huko siku hizo...!!! kulikoni profesa?? Hata yule olofesa nwingine anwingoa mitini. Mbona sielewi. !!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad