Breaking News: Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA,Tundu Lissu Amekamatawa Jioni Hii na Polisi


Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa na Polisi muda huu wa saa 12.00 siku ya jumatatu tarehe 06.02.2017 akiwa anatoka Bungeni huko Dodoma. Haijajulikana hasa sababu za kukamatwa Kwake.

Chanzo. Mkuregenzi wa Itifaki na Mawasiliano ,Uenezi na Mambo ya nje Chadema John Mrema.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad