Diamond Platnumz Aingia Top 20 ya New Artists Marekani Kupitia Wimbo wa Marry you

Nyota wa Africa diamond platnumz ameweka record mpya kwenye mziki wake baada ya kuingia 20 ya wasanii wapya nchini marekani kwa video take ya marry you kupitia mtandao wa Vevo
Video ya marry you imeendelea kufanya vizuri kupitia a/c hiyo mpya ya Diamond ikiwa na views milioni 3.7 ndani ya wiki 3.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad