Exclusive:Makampuni Yamiminika Kudhamini 40 ya Mtoto wa Diamond..!!!


Watoto wa Diamond Platnumz huzaliwa wakiwa na harufu za ustaa unaotoka kwa baba na mama yao, Zari The Bosslady. Wakati Tiffah akiendelea kushikilia taji la mtoto staa kuliko wote Afrika, mdogo wake Nillan yuko nyuma kufuata nyayo zake.

Makampuni takriban matano yamejitokeza kudhamini sherehe za Nillan kutimiza siku 40, ambapo kwa mara ya kwanza sura yake itaoneshwa. Sherehe hizo zitafanyika wiki moja ijayo.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dili tu hizo anaziomba hata kama hawamdhamini. ilimradi aonekane yuko juu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wewe tafuta dill unayoiona itakufaa ili uonekane uko juu pumbavu zako, msiwe na roho ya kwanini na wewe piga kazi ili siku moja uonekane uko juu siyo kuleta ujinga kwa mwenzako aliyefanikiwa - idiot

      Delete
  2. Who cares,,,,Wewe nawetafuta Makampuni ya kukudhamini na Familia yako,,,,Idiot

    ReplyDelete
  3. He! sasa mwenye pesa nyingi sana kwa nini anatafuta wadhamini????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad