Hii Hapa List Nyingine ya Vigogo wa polisi Waliotajwa na Makonda Kuhusika na Madawa ya Kulevya,Ampiga Biti Tena Kamanda Sirro


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari 9 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.

1- Detective Koplo Noel (Kituo chake cha kazi ni Central Police Dar)

2- Dotto (Yuko Kituo cha Kijitonyama)

3- Mwingine anafahamika kama 'Makomeo' (Kituo cha Oyster-bay)

4- Glory (Yuko Kituo cha Kawe)

5- Inspector Fadhili (Yuko Kituo cha Kinondoni)

6- Steve (Kinondoni)

7- James (Kinondoni)

8- Ditective Koplo (Wille)

RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za kulevya wakiwemo TID, Wema Sepetu, Chid Benz, Recho, amewataka kesho wakutane polisi

Kuna maeneo watu wanatuambia madawa ya kulevya wanayapata sehemu hizo, wamiliki wake kesho niwakute polisi, wasipokuja nitawafuata - RC Makonda

Kama unajua una eneo unafanya biashara za dawa za kulevya DSM natoa siku 7 biashara hii iishe, operesheni hii naiongoza mwenyewe - RC Makonda

Kama Kamishna Sirro na timu yake watashindwa kutokomeza dawa za kulevya DSM maana yake wamekosa sifa za kuendelea kuwa askari - RC Makonda

Watano tayari nimeshawakamata na wengine nimewakamata wakiwa na dawa za kulevya - RC Makonda

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu Makonda ndo maana kawa gay. anamambo ya ushoga hata mtoto hana. sasa Wema kama ni teja si tungemuona kama Reyc.?

    ReplyDelete
  2. tafuta lingine la kumchafua Wema. tunampenda na hatutowacha kumpenda bwabwa wee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema ni nani kwenye sheria? Wacha ujinga, subiri vyombyo vya dola vifanye kazi, anaweza asitumie lakini akauza.

      Delete
    2. Wema ni nani kwenye sheria? Wacha ujinga, subili vyombyo vya dola vifanye kazi, anaweza asitumie lakini akauza.

      Delete
  3. Wema si teja, msimchefue bure kwa husda zenu zakutaka asipendwe na fans wake koma wewe mkuu wa mkundu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe huna mkundu????? pumbavu zako

      Delete
  4. 40 imebuma mmweona muanze kumchafua Madam. wapiii tunamapenzi Mubashara kwa Wema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema ni nani kwenye sheria? Wacha ujinga, subili vyombyo vya dola vifanye kazi, anaweza asitumie lakini akauza.

      Delete
  5. umejitahidi Makonda, lakini umehongwa ili umtaje Wema au kukuchukulia?? na Muna je.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema ni nani kwenye sheria? Wacha ujinga, subili vyombyo vya dola vifanye kazi, anaweza asitumie lakini akauza.

      Delete
  6. na huyo alie jichora misaraba kifuani na kujifanya model. Muna mbona humtaji? acha unafik Makonda ndo maana huna mbegu za uzazi mpaka uende ulaya ukashtuliwe nyuma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata baba yako alishtuliwa nyuma acha usenge wa kutukana mtu mzima

      Delete
  7. matokeo ya form 4. dar ni mabaya. kaona ngoja ajifanye kuwasema mateja ila kwa Wema umebugi.

    ReplyDelete
  8. what is so special about Wema, wema anafuga kila aina ya uchafu apa Tanzana, yeye mwenyewe ni Malaya wa kutupa, mashoga wote maarufu ni marafiki zake, akina kaka meneja wake Martin kadinda, akina Davito, akina james. wasagaji wote maarufu akina kajala akina Wolper rafiki zale Wema. ivi Wema huyu ana nyota ya ufuska tu?. subiri ndugu zenu waharibike na sembe yake ndipo mtakapo mtetea Wema wenu. Mkuu fanya kazi yako. Mungu atakulinda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uko sahii kiongozi. Wema ni nani kwenye sheria? Wacha ujinga, subili vyombyo vya dola vifanye kazi, anaweza asitumie lakini akauza.

      Delete
  9. Nyie mnaipinga ni wapuuzi,kwa nini asitajwe Jay Dee au wengine atajwe Wema?ana nini?Kachoka kwa sasa,NI TEJA,habari ndio hiyo.
    Ray c alikuwa anakataaa sasa yako wapi.

    ReplyDelete
  10. kwendraa wewe. kama wewe huna mashoga malaya na wasenge basi utakuwa mmoja wapo wa hao! ila usisahau hata Mama yako nae ni mmoja wapo ndo maana akakuokota kwenye mtaro Anony 7.46 AM.

    ReplyDelete
  11. watu wanatetea ujinga
    makonda fanya kazi yako....wahojiwe then sheria itachukua nafasi yake

    ReplyDelete
  12. MATUSI YA NINI. KAMA MTU ATAKUTWA NA KOSA SHERIA ITACHUKUA MKONDO WAKE. HAIJALISHI NI NANI KWANI HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA.

    ReplyDelete
  13. Waliotukana wote wakamatwe ni matumizi mabaya ya mtandao au sheria hiyo hawaijui? unawza kumpenda hata mama yako lakini ni mchawi na mwiziukweli unabakia hapo. Waliotajwa historia yao ya kipato inafahamika. hiyo ziada iliyokithili waliipata wapi na ndiyo maana ni suspects, wakijieleza vizuri watakuwa wameondokana na tatizo hilo, wakishindwa sheria inachukuwa mkondo wake, hwa ni hatari kwa uwepo wa Tanzania. Tanzania ya viwanda na mabadiliko haiwezikani kwa biashara ya madawa ya kulevya. Tushirikiaene kuyapiga vita madawa haya siyo mazuri ni hatari. Hongera Mhe, Makonda tutakuunga mkono hadi kieleweke.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad