Hivi Ndivyo 50 Cent Alivyoipaisha Video ya Diamond Platnumz na Ne-Yo...!!!


Tovuti ya thisis50.com ilianzishwa na idara mpya ya habari iliyo chini ya Rapper maarufu wa Marekani 50 Cent mwaka 2007 kwa lengo la kuendeleza na kusambaza habari za utamaduni wa pop na hiphop

Mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti hiyo kupitia single yake mpya aliyomshirikisha Mmarekani Ne-Yo ‘Marry You”

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. semeni ukweli ngoma imebumaaa. msijitie 50 cent wala 100.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad