Huyu Ndiye Trump Bana..Amtumbua Jipu Amshauri Wake wa Karibu Baada ya Kuukosoa Utawala Wake Hadharani..!!!


Mshauri mkuu wa baraza la usalama la taifa la Marekani, amerudishwa kwenye kazi yake ya awali baada ya kukosoa sera za utawala wa Donald Trump zinazohusiana na Latin America.

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Sarah Sanders, amesema Craig Deare ameondolewa kwenye nafasi hiyo. Deare alidaiwa kuponda jinsi uongozi wa Trump unavyoshughulika na masuala ya Latin America alipokuwa akizungumza huko Washington.

Hii si mara ya kwanza kiongozi wa juu anatumuliwa kwa kumkosoa Trump.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magu alike Staili... Hapa Kazi Tu.

    ReplyDelete
  2. Utatimia wengi tuliza ubongo
    Kutawala biashara na kutawala nchi vitu vuwili tofauti hao unawatawala in wamarekani wa kizazi cha Marne 23 sio karne ya 10 iliopita unatakiwa use mwenye hekma na busara

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad