Issue ya Masogange, Irene Uwoya Amlipua Wema Sepetu

Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.

Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie ni mastaa acheni bifu elewaneni mjenge nchi na familia zenu, haya ni ya kidunia na yatapita hakuna haja ya nongwa wala vituko.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad