Jeshi la Polisi Limemtia Mbaroni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe


Jeshi la Polisi limemtia mbaroni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na anapelekwa Kituo Kikuu(Central) cha Polisi jijini Dar.

Siku ya Jumamosi Kamanda Simon Sirro alimpa kiongozi huyo muda wa saa 48 za kujisalimisha vinginevyo watamtafuta kwa njia wanazozijua wao.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera wana Usalama.. Uhakiki uendelee ipasavyo na wala hakuna Haraka Chukue muda mpaka mujitosheleze ikiwe pia Mtoto wetu Ben Sanane... Taifa letu ni laamani na na ni Salama hasa Hapa DareSalama... Na ikibidi Mashtaka afunguliwe na kama Deni letu la Mjengo Hajalipa pia ni vema Ipelekwe na kusikilizwa..Hongera wana Usalama kwa Umahiri na Utendaji wenu kwa Kasi Hii ya Awamu yetu. Mungu Ibariki Tanzania na Udumishe Amani na Usalama.

    ReplyDelete
  2. Hongera wana Usalama.. Uhakiki uendelee ipasavyo na wala hakuna Haraka Chukue muda mpaka mujitosheleze ikiwe pia Mtoto wetu Ben Sanane... Taifa letu ni laamani na na ni Salama hasa Hapa DareSalama... Na ikibidi Mashtaka afunguliwe na kama Deni letu la Mjengo Hajalipa pia ni vema Ipelekwe na kusikilizwa..Hongera wana Usalama kwa Umahiri na Utendaji wenu kwa Kasi Hii ya Awamu yetu. Mungu Ibariki Tanzania na Udumishe Amani na Usalama.

    ReplyDelete
  3. Najua mnapongeza ndio. Je wale vigogo wa mwaka jana mlioshindwa kuwachukulia hatua, Wakati Kikwete yupo madarakani wako wapi? Jina la Mtoto wa Raisi likiwa mojawapo Ridhiwani Kikwete, Na kuna meli za Mawaziri zilishikwa je mmewaachia mpaka Kikwete atoke na kuwanyamazisha. Mizigo iliyopitishwa na vigogo hawa bila ya kukaguliwa na bila kuilia kodi ndani kulikuwa na nini. Na leo kiwanda kimejebgwa, kuporwa na kwenda kwa Mbunge Ridhiwani kinyume cha maafukiano ya mwanzo je hii sio miingiliano ya madawa, cheo na power? Watanzania awamu ya nne ndiyo iliyofuga, ruhusu na kusambaza madawa, mbona hamjawaweka ndani hao. Kama Raisi alishindwa kuwadhibiti na majina alikuwa nayo mkononi mbona hajapelekwa mahakamani. Ni yeye ndiye aliyewafuga na kushindwa kuwachukulia sheria. Raisi na jemedari atashindwaje kama si uongo.Jeshi lipo chini yake, polisi wako chini yake alishindwaje kutoa Amri kama Amiri jeshi wa nchi hii?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad