Jibu la Dogo Janja Baada ya Kuhusishwa Kutoka Kimapenzi na Irene Uwoya

Inasemekana walikuwa pamoja usiku wa kuamkia Valentine day mpaka asubuhi ambapo Soudy Brown alipompigia simu Janjaro majibu yake yalikua haya

“Mimi mke wangu anaishi Morogoro, sijawai kutoka kimapenzi na mtu aliyenizidi umri, usiku wakuamkia Valentines nilila nyumbani..mwenyewe nilikuwa na Bro..”

“Soudy unanikosea sana si mama yangu yule? hatuna mahusiano hatuna chochote wala story naye hatuna au soudy unataka uniozeshe”

Bonyeza Play kusikiliza full story..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad