Maneno ya Wema Sepetu Baada ya Kuona Yusuph Manji Kaachiwa Kwa Dhamana


Mwigizaji Wema Sepetu ameyaandika haya baada ya kuona taarifa za Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Yanga kuachiwa kwa dhamana leo Mahakamani Kisutu Dar es salaam baada ya kushikiliwa kwenye sakata la dawa za kulevya.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwanamke jasiri utamjua tu.

    ReplyDelete
  2. There she goes again. Playing a victim as usual. Deep down unajua hukuonewa. Unajua unavuta bangi. Its time wame ku size up. Grow up and take your responsibilities. Una laana za watu wengi sana hasa wake na wapenzi za watu. Machozi yao hayawezi potea just like that. You were born a liar. Mpaka leo huja admit kuhusu mimba fake. Please give us a break and disappear from the social media. No one is waiting to read your shit.

    ReplyDelete
  3. Mmmh unamkosoa mwenzio km wewe upo sawa

    ReplyDelete
  4. Atupishe huko. Mwizi wa waume za watu, mwizi wa luku, mwizi wa maji Dawasco. Asante sana Makonda kwa kazi nzuri ingawa anakupikia majungu eti unatembea na Agnes. Yeye mbona hataji list ya wanaume za watu aliowapopoa na kuwafilisi? Hata ufanyeje Wema. Umekwisha. Jipendekeze kwa Manji and whoever. Lakini hakuna anaekuthamini tena. Eti umefanya dua baada ya kutoka selo. Hata uzikiri uchi mchana. Sheria inafata mkondo wake. Wewe hukumbuki kuna siku mama yako mzazi alikwenda kwako kuvamia kwasababu ulikuwa umezidisha kuvuta bangi? Sasa leo hii unachokana kitu gani? Shwain wahed weee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad