"Huu ni mtego wa panya, hujui utamnasa nani. Wajibu wetu ni 1) kuunga mkono na kushiriki vita dhidi ya madawa ya kulevya na 2) Kuisimamia Serikali kuhakikisha kuwa inaendesha vita hii kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi yetu".Sasa tumerudi kwenye misingi ya sheria. Sote tupambane na tusimwonee mtu.
"He seems a great man. A man of PRINCIPLES and law abider.Tutafata sheria ". Hilo Ndio tunataka.
Jitto Ni msanii WA siasa asiyejielewa. Na mpenda sofa na umaalufu WA mitandao... Nani asiyelijua Hilo.. Kwa taarifa yako Uhaniaji umeshapata mama mjasiti na shupavu.. Jitto utakuina kwenu karibu.. Usituvurugie nchi yetu ya usalama na Amani.. Hapa kazi ru
ReplyDeleteUhamiaji unaanza uhakiki umeshaambiwa. Mie simo shauri yako..Tulikwambie unajifanya kiziwi. Karibu mirembe hajafika mpaka sasa..Dogo Una mpango gani??? JPJM HATAKI MMCHEZO!!!!Hapa kazi Tu..
ReplyDelete