" Mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo waliambiwa walipe....
Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa, wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile kubwa,
Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".
Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi
Leo wamekukuna Mange, tulia acha sheria ifate mkondo akikutwa hana hatia ataachiwa hofu ya nini, mheshimiwa sio chizi amtaje wema bila sababu kwanini asiwataje mastar wengine awe wema. Well done mheshimiwa fanya kazi hapa kazi tu haturembi awamu hii
ReplyDeleteDaresalama inaharibika vijana wazalishaji wageuka kuwa wazyruraji Na petty tthiefs. Msituharibie taiga la kesho.. Makonda iko sahibu Na hatua unayoichukua sisi wazazi WA waathirika Na taiga tunakuunga mkono Na Mwenyezi mungu atakulipa kwa wema wako juu ya uharibifu juu. HIVI NI VITA VYETU WOTE. ENDWLEA NA TUKO BEGA KWA BEGA NA WATAJANE WOTEEEEE. NA HATUA ZA HARAKA IKIEEMO TUTAIFUSHA MALI ZA BIASHARA HARAMU ZICHUKULIWE KWA KILA ATAKAE PATIKANA NA HATIA HII
ReplyDeletekwani wema ni nani mpaka asihojiwe kama kuna tuhuma?? no one is above the law kama katuhumiwa lazima awajibike tu auhakikishie umma kuwa hausiki na unga. why useme wema how about others???
ReplyDeletemwanao au ndugu yako akiathirika na madawa ya kulevya ndo utajua hii vita niya makonda au niya taifa.
ReplyDeleteHii serikali ya JPM italeta matumaini mapya. Mungu ibariki TZ
ReplyDeleteMnaonaje mnaojitia kuandika andika kama mtaandika kiswahili kinachoeleweka. Mnaandika ovyo sana. AIBU YENU.
ReplyDeleteWe Mange. Wakati ule unawania post CCM si moja ya malengo yako ilikuwa kupiga vita madawa ya kulevya?!. Na wewe ni mtoto wa Iddi Kimambi aliekuwa muuzaji wa madawa ya kulevya?. Unajua wazazi wanateseka kiasi gani kwa kupoteza watoto wao kwa madawa ya kulevya?. Ungebwatuka wewe kama huyo Wema wako asingekuwa kwenye list ? Hebu tutokee huko. Unajifanya familia ya Malecela wakati huna udugu nao. Sasa unahamia kwa Sepetu ambao huna udugu nao. Una laana mshenzi weee. Bora mzungu kakukimbia. Kama una ubavu tua bongo uone kama hutanyea debe. Na ki green card chako kaa huko huko pumbaff weeee.
ReplyDeleteWhat is Wema is this Country? Sheria tu ifuatwe, sio kwa kumuonea na sio kwa sababu yeye ni Wema.
ReplyDeleteWho is Wema
Deletenot What's Wema
I guess you should just use your language
Wema is nothing in this country. Sana sana dustbin ya shahawa za marijali. Kaenda central kwa mbwembwe kaishia kupunguzwa kasi. Hata akitoka leo lakini debe kanyea.
ReplyDeletedangerous whore, wema sepetu
ReplyDelete