Manji Atoka Selo na Kurejea Uraini Kwa Masharti Haya


Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10. Manji alipandishwa kizimbani leo kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kutumia dawa za kulevya.


Manji amedhaminiwa na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa. Kabla ya hapo mfanyabiashara huyo alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Muhimbili kutokana na matatizo ya moyo yaliyompata baada ya kushikiliwa kwenye kituo kikuu cha polisi Central.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uandishi wa habari siku hizi shule ZERO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad