Sakata la kutajwa kwa Mbowe Katika List ya Madawa ya kulevya iliyotangazwa na Paul Makonda lazidi kuchukua Sura Mpya baada ya Mbowe Kufunguka Haya:
"Nina mipango wa kudai fidia kwa kuchafuliwa jina, hilo liko wazi nilisema toka siku ya kwanza kwa hiyo mpango huo lazima tutautekeleza" Mhe. Freema Mbowe
Toa maoni yako
Ni sahihi kwani kuwa famous kuna chukua muda mrefu unless iwe ni muujiza na chombo kitakachotoa uamuzi juu ya usahihi wa taratibu ni mahakama tunasubiri hukumu
ReplyDeleteInafaa wote walitajwa majina waungane wadai fidia ya kuchafuliwa majina na mtu mmoja anayetumia ukuu wa mkoa kama njia ya kuonesha ubabe. Ikiwa hili litasimamiwa na maamuzi yakatoka litakuwa funzo kwa serikali kuwa msingi wa kutengeneza sheria ,taratibu na kanuni ni ili zifuatwe kikamilifu na zisiwe makabrasha ya makabatini.
ReplyDeleteHakuna cha fidia wala nini hapo ni kujikosha tu.
ReplyDeleteHeeee napita tuu wapi Daudi Kanyau na wife Saida Kanyau hcaaaaa wazee wa fweza nyingi
ReplyDeleteMbowe mbona ulikuwa unakimbia umeitwa polisi mara hukubali kuitwa na mkuu wa mkoa ungeenda ukapimwa kama huna kitu ile halafu ungedai fidia ohh mara Mbowe kawatoroka polisi kimafia kuna nani kinajificha kama hutumii wala kuuza na sasa hata sisi watu wa kawaida tuna mashaka na wewe unasubiri mpaka nguvu ya ile kitu iishee ndo ujifanye ukapimwe ungefanya kama Gwajima bhanna hapo tungekuelewa
ReplyDeleteKWELI SERIKALI IMECHEZA MBOWE,INABIDI WAFUATE SHERIA NA KANUNI ZA KATIBA KUONGOZA NCHI.MZEE MWINYI,MZEE MKAPA,MZEE KIKWETE MBONA MMEKAA KIMYA? KWA NINI MSITOE USHAURI KWA SERIKALI? NCHI INAPOROMOJA PABAYA....
ReplyDeleteMlilalamika nchi imefika pabaya miaka 54 wizi, rushwa, madawa ya kulevya sasa serikali inasimamia sheria ili uhalifu uishe mnawatetea wahalifu hivi sie wabongo tukoje
DeleteMi napita2
ReplyDeleteTunajua unaweza kutumia sheria kuvuruga hii kesi,katika watu wanaopenda kutumia sheria kuvuruga jambo upinzani mpo.
ReplyDeleteMuogopeni Mungu viongozi msio na huruma kwa wananchi.
ReplyDeleteMnaigeuzageuza habari ya madawa ya kulevya ili iishie hewani tu.
Teh,teh,teh!Lakini ndio nyienyie mlichafua jina la Lowasa.
ReplyDeleteMnajuana kwa vilemba,Endeleeni tu kutukandamiza,MUNGU TU NDIO WA KUTUSAIDIA WATANZANIA,MAANA YEYE
ANA UWEZO WA KUPINDUA BAYA KUWA ZURI.
Ingekuwa kila anayetuhumiwa anadai fidia basi kusingekuwa na haja yakuwa na polisi wala mahakama bali kila mmoja awe mwaminifu mbele ya mungu wake kwa sababu hilo la uaminifu hakuna ndo maana zikawepo mahakama na polisi ili kama unatuhumiwa unahojiwa na kama huna kosa unaachiwa lakini kwa staili hii ya kina mbowe uhalifu utakuwa huru kwa kila mmoja ajichukulie sheria mkononi hata jambazi kabla ya kufikishwa mahakamani anadai fidia kisa kachafuliwa jina naye huenda kweli kaiba na kuua ukweli tuhuma ni tuhuma kahojiwe ukiwa huna kosa utaachiliwe
ReplyDeleteMdau juu umenikumbusha mbali, Daud Kanyau na Saida China wako wapi? Hamna tena pesa za kumwaga kwenye mashughuli.
ReplyDeleteHata kwenya ile issue ya Bilicanas pia ulikataa kwamba hudaiwi kodi yoyote, tena wewe sio mpangaji tu bali ni mmiliki...KIKOWAPI SASA?? PANAPO UKWELI UONGO HUJITENGA!
ReplyDeleteALAAH! KUMBE KUCHAFULIWA JINA KUNAUMA-EEH?? LAKINI WEWE NA CHADEMA YAKO KUCHAFUA MAJINA YA WENZENU MNAONA BURUDANI SIO?? NDIO KUSEMA KWAMBA KATIKA ILE ORODHA YA MAFISADI MLOISOMA PALE MWEMBE-YANGA, NDIO TAYARI MMESHAMLIPA FIDIA LOWASA KWA KUMTAKA AGOMBEE URAISI KUPITIA CHAMA CHENU? HAHAHA, UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU..............
ReplyDeleteKwenye macho ya watu unadai umechafuliwa jina lakini rohoni mwako unajua kabisa kwamba wewe unahusika kwa namna yoyote na hili sakata,kilichokufanya ukimbie polisi ni nini?Kumbuka kibaya unachokifanya sasa hivi kitakugeuka kwa namna yoyote.Huwezi kuficha kitu kwa Mungu.
ReplyDelete