Ridhiwani Kikwete Ameizungumzia Hii Picha yake na Mbowe

Mechi ya Yanga na Simba jana February 25 2017 ilikutanisha watu mbalimbali na hata wenye Nyadhifa za kisiasa kama Edward Lowassa, Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambao walikutana wakasalimiana.

Leo Ridhiwani Kikwete amepost picha ikimuonyesha uwanja wa taifa akionekana kumgusa Freeman Mbowe ili amsalimie ambapo kwenye caption ameandika
Kaka tusalimiane kidogo kwa afya ya Yanga”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni wewe tu na roho yako mbaya!

    ReplyDelete
  2. mmh acha zako ww msiwe kila mara mnawaza siasa tu kwani watu hawwezi kusalimiana sasa hapo alichofosi kitu gani hivyo alivyomgusa au acha fikra potofu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad