Wema amesikika kwenye sauti aliyoiweka kwenye mitandao akisema: 'Nadhani natakiwa kusema kitu sababu najua nina mashabiki, nina watu wananipenda na kunifatilia…. nina watu wanani-support, nina watu wana hofu kuhusu mimi.
"Nina watu ambao wananijali sana na nina uhakika yani wana wasiwasi sana lakini nataka tu niwaambia kwamba msiwe na wasiwasi"
Msikilize hapo chini
Hakuna mtu yoyote mwenye wasiwasi na wewe kwenda zako huko. Watu ndio kwaaanzaaa wanaendelea na maisha yao.
ReplyDeleteSijui yale makalio yake feki aliyaacha ununio!? Hahaha. Hakuna aliekuwaza na wenye waume zao wamelala kwa amani maana wanajua paka shume liko nyuma ya nondo. Unakana leo hujihusishi na unga? Umesahau ?? Au watu wafunguke? ? Nyea sebe ukoo
ReplyDeleteYule Mama yake alivyo Mcharuko yupo wapi jamanii,,,kama mwanae kaonewa mbona hajitokezi kwenda kuibua varangati na Makonda,,,,,Mwenye wasiwasi Ni MANGE kimambi tu na Familia yako,,,na wale wabeba pochi zako sie wengine maisha yanasonga tu,,,,Ukweli unaujua qewe na Mungu wako kama una uza sembe au unatumia all is up to you,,,,,
ReplyDelete