Ulimi Kisimini-Siri Ya Mwanamke Kufika Kileleni.


Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa tendo) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.

Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 3 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo la ndoa.

Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/tendo la ndoa (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Mwanaume hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi anaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja.

Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoje (well ule wa kipele ni tofauti kabisa na ule wa kisimi) lakini sio mbaya kama utapata hata huo wa juu kwa juu ambao ni wa kisimini.

Sehemu pekee ambayo itakufanya wewe mwanamke ufike kileleni kwa haraka ni kwa kufanyiwa kazi kwenye kisimi chako. Kuna wanaume ambao ni “wajanja” na hawaoni tabu kutumia ndimi zao kuwaridhisha wapenzi wao, wengine hutumia vidole na wengi hutumia uume wao.

Ndugu zangu!

Lakini ngoja nikuambie, fanya yote lakini kama unaweza kutumia ulimi ni mwisho wa mambo ikiwa ulimi huo utachezea kisimi katka mitindo ya a-z, mzunguuko, #8, pembe 2 pembe. Sio wajilambia kama “ice cream”, anatakiwa kutumia ncha ya ulimi kulamba na midomo ya nje + ulimi kukinyonya kisimi.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JAMANI KIZAZI HIKI MNATISHA. TOBA ENZI ZA MABABU,HAKUJAWAHI KUTOKEA SHULE YA TENDO LA NDOA, KUNA WATALAAM WA KILA AINA WALIOUSOMA MILI YOTE,YA MWANAUME NA YA MWANAMKE SIJAWAHI SIKIA WATALAAM HAO WAMEFUNGUA SHULE YA MAFUNZO YA TENDO LA NDO,TOKA ULIMWENGU UANZE HAMNA SHULE YA TENDO LA NDOA, JAMANI HII NI SIRI YA MUNGU PEKEE.MTAPATA MAFANGASI BUUUREEE,MTAPATA MAGONJWA. UKISHA RIDHIKA NA UMPENDAE BASI KWA KILA KITU HURIDHIKA. ACHENI KULETA USANII NA KUZITAJA SEHEMU ZA SIRI ZA KIKE KAMA VILE UNAULIZIA DAGAA AU KITUNGUU. HEBU TUHESHIMU HIZI SEHEMU. NA NDIO MAANA MNAONA HAZIKAI WAZI KAMA VILE PUA, MACHO AU MKONO.HESHIMU TENA NASEMA HESHIMU. HEBU TURUDI KWENENDE KIMAADILI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad