Utafiti: Upinzani Msipokuwa Makini, CCM itashinda Kwa Kishindo 2020

Wakati tukiwa tumebakiza miaka michache kuelekea 2020 kuna utafiti nimejaribu kuufanya mijini na vijijini lakini pia nimejaribu kupita majimbo ambayo ccm au upinzani walioshinda na walioshidwa upinzani 2015.

katika uchunguzi huu nilitaka nifahamu ni kwamba watu huku mitaani wanazungumziaje hali ya kisiasa,utawala na uongozi katika kuelekea 2020, kitu nilichokiona ni Kwamba CCM INAKUBALIKA SANA MITAANI LAKINI PIA 2020 CCM ITASHINDA KWA KISHINDO na hii inatokana sababu zifuatazo zitayoifanya ccm ,..

1.ZILE AGENDA ZA UPINZANI KUHUSU UFISADI,WIZI,RUSHWA, MADAWA YA KULEVYA, WAHUJUMU UCHUMI ZILE AGENDA CCM NDIO KIPINDI HIKI WANAZITUMIA KUZITEKELEZA HIVO KUWADHIBITI UPINZANI KUKOSA AGENDA.

2.WANANCHI UPANDE WA PILI WAMEONESHA HAWANA IMANI NA UPINZANI NA HII INATOKANA NA MIGOGORO NDANI YA VYAMA .

3.WANANCHI WENGI HASWA WANAOPENDA UPINZANI WANAONEKATA KUKATA TAMAA NA HAWANA IMANI WAPINZANI NA WENGINE WAKIAMINI WANACHEZEWA MCHEZO.

4.PIA KUNA BAADHI YA WABUNGE NA MADIWANI WA UPINZANI TANGU WASHINDE UCHAGUZI MKUU HADI LEO HII HAWAJARUDI MAJIMBONI HIVO WAMEAPA 2020 WATAWADHIBU

5.PIA KUNA BAADHI YA WATU WAMEANZA KUAMINI UPINZANI SAFARI HII WAMEKOSA HOJA.

6.KUNA WATU WAMEAPA HAWATAPIGA KURA TENA KWA MAANA HAWANA IMANI NA WAPINZANI,TUME,KATIBA.

KWA KIFUPI UPINZANI HASWA CHADEMA,CUF,ACT ,NCCR N.K WAJITAFAKARI WASIPOKUWA MAKINI UPINZANI 2020 ITAKUWA NI KILIO .

HADI SASA TAA NYEKUNDU IMESHAANZA KUWAKA NDANI YA UPINZANI KWA MAANA KUNA ANGUKO KUBWA LA UPINZANI NDIO MAANA HATA ALIYESHUHUDIA MATOKEO YA UDIWANI KATA 22 NA CCM KUBEBA KATA 21 NA UPINZANI NA HAPA NDIO TAA NYEKUNDU ILIVOONESHA ANGUKO LA UPINZANI

USHAULI WANGU KWA UPINZANI WAKAZE BUTI,WAJENGE HOJA NA WAPAMBANE KUTENGENEZA MAZINGIRA YA WATU MITAANI KUWAMINI LAKINI WAKIJISAU WAMEKWISHAA CCM WENZAO KILA KUKICHA MAKADA WAO HUKU MTAANI WAKO BIZE KATIKA KUJENGA CHAMA KUTAFUTA WANACHAMA NA SIO KUKESHA MITANDAONI KWA MITANDAONI HAKUNA WAPIGA KURA ILA WAPIGA KURA WAKO MITAANI,

HIVO MAKADA WA CHADEMA, CUF,ACT N.K INGIENI MTAANI KUTAFUTA WANACHAMA WAPYA NA MJIPANGE KWELI KWELI NA TUACHE KUTEGEMEA SIASA ZA MATUKIO AU CCM IKOSEE NDIO TUZUNGUMZE LAKINI PIA KAMA KUNA VIONGOZI WAMESHIDWA NI BORA WAJIUZULU MAPEMA

By C programming/JF

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tawire!! Wapinzani wamebaki kuandaa maandamano, ukuta, kumshtaki Makonda, kuitisha press conference hata wakitaka kujamba..............

    ReplyDelete
  2. Wameishiwa...!! Sera hawana wala hawahiwlewi na sisi wananchi tumelinanya Hilo. . Wakafie mbeke ya safari .... Hapa Kazi Tu

    ReplyDelete
  3. Wewe ndo umekata tamaa na upinzani...kajambe mbeleee usiongelee nafsi za watu million kadhaa kisa ww umeona maono yako

    ReplyDelete
  4. Wanaonyesha kabisa ni watu wanaotaka madaraka tu na sio kutusaidia wananchi.Inashangaza pale wanapodai eti CCM haifanyi sawa wakati wananchi tunaona jitihada zinazofanywa na awamu ya 5.Ni viongozi wachache sana wa CHADEMA wanakubali mazuri yanayofanywa na serikali ya sasa,wengi wao wanaponda tuuuu,sasa tujiulize ni kweli hakuna mabadiliko?kila linalosemwa na serikali wao ni kupinga,usafi wanapinga na wengine kushawishi raia vibaya,Na ubabe wa Baadhi ya viongozi wao,unachangia kutoiamini tena CHADEMA,mfano kiongozi unaitwa na serikali kwa nini usiitike wito,badala yake unakaidi,unaita vyomba vya habari kuonyesha watu kwamba huwezi kutii mamlaka?Wakipewa nchi watatuburuza,waendelee kuwa wapinzani sio watawala.

    ReplyDelete
  5. MIAKA 50 MLIKUWA WAPI ????????????????????????????, KAMA UMESHINDWA KUWALETEA MAENDELEO WATANZANIA NDANI YA MIAKA 50,UTAWEZA KUFANYA HIVYO NDANI YA MIAKA 5???????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!, HOVYOOOOOOOOOOOOOO!!! KABISA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad