Video : Alikiba Ataja Wasanii Aliowasign Kwa Label Yake, Yupo Jokate


Tumesikia baadhi ya wasanii wakianzisha label zao za kusimamia wasanii, baadhi ya hao ni Diamond platnumz, Baraka Da Prince na Shilole. Najua wengi hamlijui hili ila ni kwamba msanii Ali Kiba nae kaanzisha Music label yake.

Katika label hiyo ana wasanii watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike. Ali Kiba kamtaja Jokate kama mmoja wa wasanii ambao watakua chini yake na tayari wameshafanya kolabo pamoja. Unaweza kumsikiliza Ali Kiba hapa chini katika video hii.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad