VIDEO MPYA ya Mdogo wake Vanessa Mdee ‘Mimi Mars’ inaitwa ‘shuga’

Marianne Mdee, kwenye BIO yake katuandikia ana uwezo wa kuimba, kuandika nyimbo na kufanya utangazaji ambapo leo ndio siku rasmi ameamua kutuonyesha upande mwingine wa kipaji chake ambacho ni mziki, ukishamaliza kuitazama video yenyewe usisahau kuachia comment yako…

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad