VIDEO: Polisi Yaongea Kwanini Diamond Platnumz Hakufikishwa Mahakamani Kama Wale wa Singida

Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV kujibu baada ya watu ku-comment kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuona Diamond amepost picha akiwa na Kamanda na hakupelekwa Mahakamani.

Kamanda Mpinga ameeleza kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa akiendesha gari huku akiimba na kucheza wakati kuna wale wa Singida walipelekwa mpaka Mahakamani kwa kosa hilohilo……

TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Swali halijajibiwa

    ReplyDelete
  2. kwa mara ya kwanza polisi anamtetea mvunja sheria,kisa umaarufu wake,mwenzangu wa darasa co maaruf,unamuadhibu mtuhumiwa kwa sheria iliyopo au kwatukio lililotokea,anamaanisha kuachia stering ukiwa hapohapo bado co kosa kubwa bali kuondoka.c amini kama kuna sheria 2,muachia stering akiwa hapohapo,na muachia stering na kurdi nyuma,acheni upendeleo jaman,matukio yote mmeanza kuyaonea kwenye mtandao eti 2liomkamata terminal ndo anakosa kubwa huyu abaye alificha makosa yake akagundulika baadae ndo yupo safe,ndu hii hatari,no justice kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad