Alichokiandika Nape Baada ya Makonda Kuvamia Kituo cha Clouds Fm..!!!


WAZIRI wa Habari,  Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kupitia mitandao ya kijamii juu ya madai ya kuvamiwa kwa kituo cha Redio Clouds FM majira ya saa nne usiku, siku ya Ijumaa kuamkia Jumamosi.

Aidha Nape amewataka wanahabari watulie mpaka pale jambo hili litakapo patiwa ufumbuzi.

“Litatolewa ufafanuzi”, aliandika Nape.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naona vlaudi pia inatumika na chama tawala.haipo huru. Ni aibu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad