Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."
"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."
gwajima ni chumaaa so chuma ni chumatuuu ata wafanyajeeeeee kitabak kuwa chumaaa
ReplyDeletegwajima ni chuma so chuma kitabaki kuwa chuma tuu
ReplyDeletePIGA TU BABA...VYETI KWANZA
ReplyDeleteMwache Gwajima akuonyeshe wewe kwanza vyeti feki vya makonda
Delete