Kutokana na upungufu wa chakula, Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamile apiga marufuku biashara ya mahindi ya kuchoma ili kukabiliana na tatizo la njaa.
Je, unahisi kupigwa marufuku kwa biashara ya kuchoma mahindi kutasaidia kupunguza tatizo la njaa ?
HAYA KUMEKUCHA
ReplyDeleteSASA HAYO MAHINDI YA KUCHOMA SI YANALIWA PIA?AU VIPI.WATU WENGINE WANAPATA AJIRA WENGINE NDIO AKISHA KULA HINDI MOJA NA MAJI AMESHIBA.HANA UWEZO WA KUNUNUA PILAO.JAMANI TUFIKIRIENI WALALAHOI.TUKAIBE TUFUNGWE.HUKO JELA MUTATULISHA BURE.