HomeSiasaBREAKING: Maalim Avuliwa Ukatibu Mkuu CUF BREAKING: Maalim Avuliwa Ukatibu Mkuu CUF 1 Udaku Special March 28, 2017 Top Post Ad Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya. Taarifa ya hatua hiyo imetangazwa Mapema leo na Prof Ibrahim Lipumba Habari zaidi itakujia hivi punde... Below Post Ad Tags Siasa Newer Older
Sasa Mtatiro itabidi arudi CCM. JE MTANPOKea AU TLP
ReplyDelete