Breaking News..Rais Magufuli Afanya Utenguzi Wizara ya Nishati na Madini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi 2017.

Katibu Mkuu Ntalikwa aliteuliwa Desemba 2015 na kuapishwa Ikulu Januari 2, 2016.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu, nafasi yake itajazwa hapo baadaye.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magu Baba mingu akulinde. Makontena tumeuazibiti na mtandao wote lazima ufatikiwe na wanavyo miliki. Uaminofu ndiyo unaotakiwa na uzalendo..hapa kazo ru

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad