Breaking Newss..Wabunge wa CCM Dalaly Kafumu na Vicky Kamata Wajiuzulu,Waandika Barua Zenye Ujumbe Mzito Kuhusu Serikali ya Magufuli...!!!


Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda na Biashara, Dkt. Dalaly Peter Kafumu, makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vicky Kamata wamejiuzulu nyadhifa zao hizo leo Machi 20, 2017.

Wabunge hao wamesema wamefanya uamuzi huo ili waweze kupata muda wa kutosha kuwatumikia wananchi majimboni mwao.

Aidha viongozi hao wameeleza sababu za kuchukua hatua hiyo kuwa ni serikali kuingilia majukumu yao katika utendaji kazi na hivyo wakaeleza kuwa hawaoni sababu za kuendelea na majukumu hayo.
Kafumu ni Mbunge wa Jimbo la Igunga (CCM) ambapo Vicky Kamata ni Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akiwakilisha wanawake wa Mkoa wa Geita.

Wamekabidhi barua za kujiuzulu kwenye ofisi ya spika wa bunge jana.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wajiuzulu Nini...!!? Hiki kichwa ni cha ushabiki na upotoshaji.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad