BREAKING: Rais Magufuli Atengua Uwaziri wa Nape Nnauye



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kumteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo… na taarifa kamili ndio hii hapa chini kutoka IKULU.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi mr president big upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mwanaume simama

    ReplyDelete
  2. Raisi alishasema Hapa kazi tuu nape unaleta longolongo hakuna taimu ya kujadiri maneno ilishapitwa na wakati watu wanatakiwa wafanye kazi kujiletea maendeleo sio kila kukicha porojo lazima nape ungesoma nyakati lakini isiwe tabu

    ReplyDelete
  3. Alichokitaka amekipata..tatizolake ni kutetea wauza unga
    Kwa maslahi yake. NA si kwa maslahi ya serikali. A chama.pumba u huyo skalÄ™ jeuri yake..hapa kazi tu......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad