Diamond Aweka Wazi Utajiri Wake,Aanika Misaada ya Mamilioni ya Pesa Aliyoitoa kwa Jamii..!!!


Kumbe Diamond sio wa mchezo. Hivi ndio vitu ambavyo amejitolea kusaidi jamii mpaka sasa.

Hilo limekuja baada ya shabiki mmoja kuandika ujumbe ambao ulionekana kumgusa muimbaji huyo. “……100m Kwenye shingo…huku watu wana ishu nashida atleast wasaidie watu kwenye maeneo mabaya,” alicomment shabiki huyo kwenye picha hiyo hapo chini.

Naye Diamond alimjibu kwa kuandika, ““…..nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, misikiti miwili mmoja Morogoro pia nyingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya Imamu mbali na sadaka mbali mbali sasa unataka nitoe hela zote sadaka nami nisifurahishe ebu niombe radhi kwa hilo.”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Binadamu hawaishi maneno, kwanza hata hukimpa hili atataka na hili na lile arimladi tu. Ndivyo walivyoubwa.

    ReplyDelete
  2. diamond haifai kutangaza sadaka asemae na aseme ukitaja sadaka ulizotoa mungu anafuta amali zake sababu kiki za mungu ndio zinatakiwa sio kiki za binadam we toa tu sadaka hasa ningeomba uwekeze kwa watoto wagonjwa ambao wazazi wao hawana cha kuwatibia usibishane na wajinga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad