Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda



Nyumba aliyokulia Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (Daudi Bashite)

KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na kufahamika kama Daudi Albert Bashite, wanaandika Waandishi Wetu.


Wanaomtaja kwa jina hilo ni wanakijiji, ndugu zake, wanafunzi aliowahi kusoma nao pamoja na watu waliowahi kumshuhudia akifanya kazi kama kondakta.


Gazeti la MwanaHALISI baada ya uchunguzi wake wa kina uliohusishwa kutuma timu ya maripota wake jijini Mwanza, wanakuletea habari kamili inayofichua ukweli wa sakata hilo huku mama na baba wa Makonda, shangazi yake na wanafunzi waliowahi kusoma naye wakiwa wamehojiwa.

Shule ya Msingi aliyosoma Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Chanzo: Mwanahalisi
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa enzi za makonda hizo ndo nyumba zilizokuwa za bei, isiione hivyo. ingia hata vijiji vingine kama utapata nyumba kama hiyo. Acheni. kila mtu ana mafanikio yake. watu hutoka mbali.wengine hutoka kulalia ngozi nas nyumba ya makuti hadi kwenye migorofa. mngemwacha ipo siku angesimulia maisha yake mwenyewe. kwa nini usimulie maisha ya mwenzio??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli. Hizo nyumba mbona zilikuwa dili ukili ganisha na za nyasi juu chni na pembeni.

      Delete
  2. Nanyie hamna kazi za kufanya au ma-SHILAWADU...??, sawa umefika umeshajua ndio yeye .......so what?? mfyuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Ukweli unauma lakini lazima usemwe.

    ReplyDelete
  4. HUYO ALIYEPOST NYUMBA KWANI YEYE ALIANZIA WAPI NA ISITOSHE INAHUSU NINI KWENYE MAZINGIRA HAYA YA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA AU NI JIPU? KHAA INACHOSHA. PAMBAN BABA MUNGU YU PAMOJA NAWE.

    ReplyDelete
  5. AONYESHE VYETI HADHARANI SARAKASI LIISHE HILI...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad