Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na uzima ,Bwn Josephat Gwajima amesema kwamba, vita ndo kwanza imeanza. Ana nyaraka zote zinazoonesha uhalali wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwamba jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba kama anabisha hakuina cheti, ajitokeze kuthibitisha swala hilo.
" Nilichorusha ni kijipande tu, matokeo yake mnayaona. Ajiyokeze akanushe swala hilo kwa evidence na mm ntatoka kumuonesha vyeti vyangu. Mkuu wa Mkoa amemchokoza mtumishi wa Mungu, matokeo yake ndo haya. Ajitoke kuomba msamaha"
Gwajima kumbuka kuwa vita vyetu si vya damu na nyama bali ni vya kiroho. Biblia unayoisoma kila siku inasema mtu akikupiga kofi shavu mgeuzie na la pili. Pia mpende adui yako kama nafsi yako. Mliitwa wengi polisi lakini wewe ndo mlipa kisasi kuliko hao wa mataifa. Biblia gani wewe unasoma na kumwombea mtu mabaya kwa Mungu na kujiweka mitandaoni kila siku. Gwajima kuwa mpole hubiri dini na siyo chuki na hasiri. Mwachie Mungu nafasi yake wewe endelea kumtukuza Mungu huko kanisani kwako achana na mitandao unampaka Mungu matope na wakristo pia. Amen
ReplyDeleteGwajima kumbuka kuwa vita vyetu si vya damu na nyama bali ni vya kiroho. Biblia unayoisoma kila siku inasema mtu akikupiga kofi shavu mgeuzie na la pili. Pia mpende adui yako kama nafsi yako. Mliitwa wengi polisi lakini wewe ndo mlipa kisasi kuliko hao wa mataifa. Biblia gani wewe unasoma na kumwombea mtu mabaya kwa Mungu na kujiweka mitandaoni kila siku. Gwajima kuwa mpole hubiri dini na siyo chuki na hasiri. Mwachie Mungu nafasi yake wewe endelea kumtukuza Mungu huko kanisani kwako achana na mitandao unampaka Mungu matope na wakristo pia. Amen
ReplyDeleteGwajima unataka uuombwe msamaha kwani wewe Mungu. Kaa tu kwenye nafasi yako usije ukapigwe na huyo Mungu unayemtania.
ReplyDeleteALIWAMBIA MITUME, NENDA ULIMWENGUNI KOTE, MKAIHUBIRI INJILI KWA KILA KIUMBE ATAKAE NIAMINI ATAFANYIKA MTOTO WANGU,HIVYO BASI KUPIGANA KWETU SI KWA DAMU NA NYAMA, NI JUU YA FALME KATIKA ULUMWENGU WA ROHO.VAENI SILAHA ZA BWANA UPATE KUZISHINDA HILA ZA MWOVU,KWA HILO MCHUNGAJI UNAKOSEA,BIBLIA INASEMA MTU MWENYE UFAHAMU,MAARIFA, HEKIMA HUNYAMAZA.KAMA UNAJENGA UADUI UNAFUNJA SHERIA YA BWANA YA KUMPENDA ADIU YAKO.EBU YAEPUKE MAKWAZO MCHUNGAJI ILI UWE KIELEZO. WEWE NI BARUA.ANGALIA USIJE UKAPOTEZA NEEMA YA MUNGU BABA, USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU.
ReplyDeleteMbona unayasema leo, ulikuwa wapi siku zote?? Yote hayo ulosema umepata nini?? Endeleeni kusema mkichoka mtanyamaza, kukaa kimya kwake ni jibu la mjinga........awe Paul awe Daudi, mumuwache achape kazi........na cocaine mtawacha wenyewe kuuza.......kudadadeki
ReplyDeleteYOOOOTE MMESHA MALIZA,KUMPASHA HUYO FAKEPASTOR WENU NA MKUU WA MKOA WOTE WA DINI YA IMANI MOJA ..MIMI NI MUISLAM.NAMPONGEZA JEMBE RC.KWA KAZI TAKATIFU UNAYOIFANYA SIO HUYO FAKEPASTOR-DOMO KAYA KWA HAKIKA HUYU MUUZA SEMBE KM KUFA..YEYE HAONI MADHARA MATEJA MITAANI YE ANAANGALIA MASLAHI YAKE TU.ENZI YA NYERERE WATU KM HAWA UTASIKIA AMEPOTEA TU KIMYAA..
ReplyDelete