Gwajima Adai Sasa Yeye ni Mwanafamilia wa Clouds


Pichani askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima akiwa na timu ya Clouds media alipowatembelea kuwapa pole kutokana na uvamizi uliofanyika ofisini kwao. Gwajima amedai sasa amekuwa mwanafamilia wa Clouds

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad