Web

Hivi Ndivyo Nape Nnauye Alivyomkabidhi Ofisi Mwakyembe Leo..!!!

Top Post Ad


Aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye leo amekabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Dk Harrison Mwakyembe.

 Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Profesa Elisante Ole Gabriel.

Wengine walioshuhudia makabidhiano hayo ni Naibu Waziri Anastazia Wambura , Naibu Katibu Mkuu Nuru Millao na watendaji wa Wizara.

Below Post Ad

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. daa..jamaa amekomaa kisiasa mpaka inastaajabisha...Well done NAPE..utalipwa hapahapa duniani kwa ujasiri huo...FITNA NI DHAMBI KUBWA..

    ReplyDelete