Hivi Ndivyo Tundu Lissu Alivyoandika Historia Mpya Tanzania..!!!


Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa jumla ya kura 1,411 kati ya 1,682 zilizopigwa.

Mwanasiasa Julius Mtatiro ambaye kwa sasa yupo jijini Arusha amethibitisha ushindi huo wa Tundu Lissu 

"Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 84% ya kura zote." Ameandika Julius Mtatiro 
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. A big fight.

    ReplyDelete
  2. hakuna lolote jipya la kuangalia, haya mambo ya TLS tutayasahau baada ya kesho, kama anataka kufanya mabadiliko ni kura zake tu huko Bungeni, hii TLS ni klabu tu ya wanasheria hawana uzito wowote kwenye kuunda au kusimamia sheria;

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad