Hivyi Ndivyo Wabunge wa Tanzania, Kenya na Msumbiji Wavamiwa na Majambazi Nchini Afrika Kusini...!!!!


Wabunge wa bunge la Afrika kutokea mataifa ya Tanzania, Kenya na Msumbiji walivamiwa na majambazi walipokuwa wakitoka uwanja wa ndege wa OR Tambo mjini Johannesburg wakielekea hotelini 

Mmoja wa wabunge hao kutokea Kenya alipigwa vibaya na majambazi hao alipokuwa akijaribu kuzozana nao wasiwaibie 

Wabunge wengi wanasema wakati sasa umefika kwa Bunge hilo la Afrika kuhamishiwa kutoka Afrika Kusini kwa sababu hakuna usalama wa kutosha nchini humo. 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad