Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa Kupata Mtoto Mpaka Sasa, Sijawahi Kuwa na Mchepuko..!!!


Mwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele.

Amedai pia ameokoka na hana mchepuko katika maisha yake kwa kuwa anaamini kuwa na wanawake wengi kunakuletea mabalaa katika maisha

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mungu ni mwamnifu na akupe mtoto kwa jina la yesu

    ReplyDelete
  2. Mungu atakupa mtoto kwa muda usitarajia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad