Julius Mtatiro na Lupumba Katika Vita Nyingine CUF


Mwenyekiti wa kamati ya uongozi CUF, Julius Mtatiro amesema Prof. Lipumba hana uwezo wa kumteua Katibu Mkuu hata kama nafasi hiyo angekuwa nayo kama zamani.
Pia amedai hawezi kufukuza Wakurugenzi kwani hutenguliwa na Mwenyekiti kwa kushauriana na Naibu Mwenyekiti na wote hao hawapo CUF kwa sasa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad