Kazi Imeanza..Ridhiwani Kikwete Ahojiwa na Tume Dawa za Kulevya, Asema Haya...!!!


Mbunge wa Chalinze jana alihojiwa na tume ya kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya. Alipoulizwa kuhusu kuitwa huko, mwenyekiti wa tume hiyo, jaji Siang'a amesema kila aliyetajwa kwenye orodha ya wanaohusika ataitwa. Naye Ridhwani amesena maelezo aliyopewa yamemsuuza moyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad