Kazi Immeanza Rasmi..Waziri Mpya wa Habari Aaanza na Sakata la Makonda Kuvamia Clouds,Ametoa Kauli Hii...!!!!


Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amejibu swali la waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema leo baada ya kuapishwa katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisema maneno yafuatayo juu ya sakata hilo lililotikisha vichwa vya habari nchini kwa juma moja sasa.

"Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi"-Waziri Mwakyembe
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KUNGURU MWUOGA HUEPUSHA UBAWA WAKE!AKUUUU MIMI SIJUI HILO LA LIKITOKEA CLOUDS MEDIA.HAHAHAHAAA!CHEZEA CHUNGU YACKUTUMBULI BILA GANZI WEE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad