Kila Kona ni Makonda Atumbuliwe..Atumbuliwe Tu...!!!


Kituo cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu, Dk Helen Kijo-Bisimba kimesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha.

Bisimba ameitaka  Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa ili kukomesha tabia hiyo. 

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli nimeamini Tanzania wauza madawa ya kulevya ni wengi na mafia wameungana mpaka wamtoe roho makonda

    ReplyDelete
  2. Udaku mtauuza sana magazeti kipindi hiki cha miaka mitano kwa sababu raisi anainyoosha reli iliyo pinda wengi wameguswa ktk biashara zao haramu kwahio makonda kutumbuliwa ni mwiko kazi anayoifanya iliwashinda mbwa na fisi na hilo mnatambua lakini fikira zenu zimekaa kibiashara

    ReplyDelete
  3. Hao watu wa haki za binadamu mambo haya ndio wanayaweza, watoto wanabakwa, wanawake wanapigwa na waume zao mpaka wanauwawa huwasikii.......anzisheni chama cha siasa tujue moja.....mfyuuuuu

    ReplyDelete
  4. Mokonda Simtumbui.. Na namuunga mkono kwa Vita hii nzito aliyoianzisha Na anafull Support yetu sisi wazazi na Wazalendo wa nchi hii. Vita hii tunaielewa na Maadui zake ni wengi na wenye pesa Haramu kwa biashara Haramu. Haya yote yasingekuja kama hajaanzisha Hii Vita. MAKONDA ENDELEA NA TUKO BEGA KWA BEGA. WATASEMA MCHANA USIKU WATALALA NA WEWE ENDELEA KWA KASI ZAIDI KUCHAPA KAZI.....HONGERA KIJANA WETU....!!! TUNAITAKA DAR MPYA BILA MADAWA INAWEZEKANA TENA SANA!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Mokonda Simtumbui.. Na namuunga mkono kwa Vita hii nzito aliyoianzisha Na anafull Support yetu sisi wazazi na Wazalendo wa nchi hii. Vita hii tunaielewa na Maadui zake ni wengi na wenye pesa Haramu kwa biashara Haramu. Haya yote yasingekuja kama hajaanzisha Hii Vita. MAKONDA ENDELEA NA TUKO BEGA KWA BEGA. WATASEMA MCHANA USIKU WATALALA NA WEWE ENDELEA KWA KASI ZAIDI KUCHAPA KAZI.....HONGERA KIJANA WETU....!!! TUNAITAKA DAR MPYA BILA MADAWA INAWEZEKANA TENA SANA!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad