Kimenukaaa..Wananchi Wamjia Juu Gwajima,Ni Baada ya Mapepo Aliyoyaamuru Kukataa Kumwingia Makonda....!!!


Hivi karibuni baada ya video kusambaa mitandaoni, ikimuonyesha mchungaji gwajima akimtoa mtu mapepo huku akiamuru mapepo hayo yaende kwa mheshimiwa paul makonda,hata hivyo,pepo hilo lilimjibu gwajima kuwa huyo mtu haingiliki wamemshindwa.

Kitendo cha kuamuru pepo litoke na kuingia kwa makonda kimelaaniwa na wananchi wengi na kumtuhumu mchungaj huyo kuwa sio mchungaji bali anatumia jina la Mungu kujipatia kipato,wengine walienda mbali zaidi na kutaka vyombo vya usalama vimchukulie hatua mchungaji huyo kwa kupotosha watu.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumpakazia mtu asiye kukosea, malipo yake ni hapa-hapa duniani.........na bado atazidi kudhalilika, Makonda utamuona hivi hivi............tunasubiri awamu ya 4 hadi ya 7, jina lako likijitokeza utakamatwa tena.......HAPA KAZI TU!!

    ReplyDelete
  2. gwajima lazima atakuwa main chain ya wauza unga kama kufa au kifo na mtu-ni lazima..na atadhalilika hapahapa duniani na bado,atalopoka sana..n hao waumini ni zero kabisa...aka vichwa maji kazi kumchangia ..uchawi wake si anenda kununua NIGERIA huyo..

    ReplyDelete
  3. gwajima lazima atakuwa main chain ya wauza unga kama kufa au kifo na mtu-ni lazima..na atadhalilika hapahapa duniani na bado,atalopoka sana..n hao waumini ni zero kabisa...aka vichwa maji kazi kumchangia ..uchawi wake si anenda kununua NIGERIA huyo..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad