Kimenukaa..Clouds Tv Wavigeuka Vyombo vya Habari Kuhusu Makonda,Wamsifia na Kumshukuru 'Live' kwa Kuwakarabatia Uwanja ...!!!


Hatimaye Clouds Fm Kupit Kipindi chake cha Clouds Sport Bar Wamekiuka Agizo la Jukwaa la Waharii Nchini kwa Kumsifia Mkuu wa Mkoa wa Dar ,Mhe Paul Makonda.

Katika Kipindi Hiko watangazaji wa clouds tv walimsifu Mhe Makonda kwa jitihada zake za kuuboresha uwanja wa Bandari ambao utatumika kwa michuano ya Ndondo Cup.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Makonda Ni mchapa kazi..kila mtu analijua na mpiganaji JASIRI WA vita ya unga KUWANUSURU WATORI ZETU NGUVU KAZI EASIATHIRIKE. PAMOJA SANA KONDA...!!!! ENDEKEA MBEKE WEKA EAR PLUG..TUKO PAMOJA SANA NA BABA JPJM

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad