Kimenukaa..Gwajima Azidi Kumchanganya Makonda,Adai Atasema Ukweli Hadi Kieleweke...!!!!


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ataendelea kusema ukweli na hataogopa chochote.

“Nitaendelea kusema ukweli fitina kwangu mwiko” alisema hayo katika mahubiri yake ya jana kanisani kwake Ubungo.

Pamoja na mambo mengine, Askofu huyo, alisema Clouds Media ni rafiki zake kwa sababu wamewaeleza ukweli watanzania.

Alisema hata waislamu ni rafiki zake kwani ndiyo waliomlea baada ya kutelekezwa akiwa mdogo.

Wasanii maarufu wa redio ya EFM, Mkude Simba na Stanley walikuwa kanisani hapo jana huku Mchungaji Gwajima akiongoza misa kwa mada ya vipaji na vipawa.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu baba Lakini ni nini? Haswa.

    ReplyDelete
  2. ATASEMA MCHANA USIKU ATALALA, ATAAMKA ASUBUHI, ATASEMA MCHANA USIKU ATALALA, ATAAMKA ASUBUHI, ATASEMA MCHANA USIKU ATALALA, ATAAMKA ASUBUHI, ATASEMA MCHANA USIKU ATALALA, ATA..................................

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad