Kimenukaa..Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema Amchana Magufuli Kuhusu Hotuba Yake ya Jana...!!!!


Nadhani Mhe.Rais hajui maana ya uzalendo. Na pengine anadhani kwa kuwa Rais basi yeye ni Mzalendo kuliko wote. Ni mtazamo potofu. Kuwa Rais wa nchi au ngazi yoyote ya UONGOZI na madaraka katika taifa letu, sio kigezo cha uzalendo , japo inategemewa hivyo,
1. Kuvunja katiba ya nchi kwa kuzuia vyama vya siasa visifanye mikutano ya hadhara , huo sio uzalendo.

2. Kutisha vyombo vya habari visitangaze askari anyetoa bastola hadharani kinyume na taalume na maadili yake , huo sio uzalendo.

3. Kukemea na kufokea wahanga wa tetemeko la ardhi kwa kudai setikali haikuleta Tetemeko huo sio uzalendo.

4. Kutumia vyeti amabavyo sio vyako , huo sio uzalendo.

5. Kuvamia vituo vya Tv za watu kwa maslahi yako binafsi , huo sio uzalendo,

Msigwa the MP For iringa urban 24/3/2017

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata akimchana bado Magufuli Raisi wake tu akitaka ahamie south Sudani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad