Kudadeki...Lema Amchokoza Tena Rais Magufuli,Amtaka Amtimue CCM Waziri Mkuu kwa kuwa na Yeye Aliimba Kuwa na Imani na Lowassa...!!!


Leo kulikuwa na Mkutano wa Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless J. Lema Katika viwanja ya Tindigani vilivyopo kata ya kimandolu. mkutano huo umeudhuriwa na Maelfu ya wakazi wa Arusha na viunga vyake. majawapo lema alichokisema ni Mheshimiwa Rais kwenye ile video ya watu waliokuwa wanaimba wana imani na Lowassa nimemuona na Waziri Mkuu Majaliwa pia akiimba kwa nguvu zote, na yeye mlete huku kwetu"*

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhhh!! Hii picha ilikuwa wapi vile?? kwani zamana yeke si inakwisha kabla hajajipu...mie nimemuona kqa daktali imezoifika..sasa makutano wapi na qapi..PILENI WASHANGILIAJI..LAKINI SIYO BIBI AKE

    ReplyDelete
  2. Mhhh!! Hii picha ilikuwa wapi vile?? kwani zamana yeke si inakwisha kabla hajajipu...mie nimemuona kqa daktali imezoifika..sasa makutano wapi na qapi..PILENI WASHANGILIAJI..LAKINI SIYO BIBI AKE

    ReplyDelete
  3. Kura yangu naijutia kukupa Lema huna jipya kwanini usiwe kama Nasar hana mbwembwe,,, hata zito alikua hivyo na uenyekiti alikosa wa chadema sasa kama unataka ujulikane kwa njia hiyo utasubiri sana

    ReplyDelete
  4. Lema ana mdudu wa kichwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad