Family bonding - muunganiko wa kifamilia ni jambo jema sana! Family conflicts - migogoro ya kifamilia ni jambo baya sana... Msingi wa umoja katika ukoo huanza kwenye familia
Tuna familia na koo zenye migogoro mingi sana vinyogo visasi wivu dhuluma kijicho na mambo yanayofanana na hayo vimeharibu familia na koo nyingi
Familia maarufu ya Gwajima ni mojawapo! Unapoona wanandugu wanatoa siri za familia nje hasa kwenye vyombo vya habari kwa sababu yoyote ile jua kuna shida kubwa ndani yake
Sakata la madawa ya kulevya limetuletea yatokanayo kwenye ukoo huu maarufu wa Gwajima .....kwamba kaka yake Gwajima mchungaji aliugua hadi kufariki na mdogo wake huyu akawaaminisha watoto wa marehemu kaka yake kuwa angemfufua babayao (pengine kwa makubaliano fulani)
Kaka mtu hakufufuka ! Hakuna mtu aliyeyefufuliwa tena baada ya Yesu Kristo kufufua aliowafufua. Watoto na ndugu wakajenga chuki na familia ya Gwajima mchungaji na pengine hakuna waliohangaika kutatua huo mgogoro kwa sababu wanaozijua wenyewe ama pengine walijaribu wakashindwa
Gwajima mchungaji ana kipaji na karama ya kuhubiri lakini anakitumia vibaya. Gwajima ana uthubutu wa ajabu hayumbishwi na changamoto zake. Ni watu wachache mno wenye hiki kipaji.. Kupitia hili amejijengea umaarufu mkubwa na ni bilionea
Haya anayofanya ni laana kwa familia na ukoo wake, Gwajima ni muongo sana lakini haogopi kuongopa ni mjanjamjanja mwenye viashiria vingi vya utapeli kwa kutumia jina la Mungu na dini.... God is watching...! Kutokana na hili haambiliki na amekuwa na kashfa na migogoro mingi
Kuna huyu Gwajima mwanasheria msomi asiye na tafakuri wala hekima! Kwa kutaka kufurahisha kaliba Fulani ya watu na pengine kwa malipo kidogo anamponda live kwenye media ndugu yake na kuleta ishu za kifamilia upenuni... Zaidi pengine akiongozwa na wivu juu ya mafanikio ya nduguye ambaye pengine hana elimu kama yake
Gwajima mchungaji hajaongea bado kumjibu lakini wawili hawa wanatupa mwanga wanajifunua wakoje huko kwenye ukoo wake
Kaka mbabe jeuri Mdogo mtu msomi asiye na hekima wala weledi kila mtu ana watu nyuma yake
Wameanza kumalizana live mpaka nje laana hii itadumu vizazi vingi
KIMTAZAMO WEWE MWANDISHI UNAMFAGILIA MCHUNGAJI HUNA MAANA YYTE-WEWE UMEONA VYEMA MCHUNGAJI KUIFUNIKA HIYO ISSUE YA MADAWA HATARI YA KULEVYA KICHWA MAJI WEE NA WW PIA UNAWATU NYUMAYAKO-BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA MAKONDA OYEEEEEE..MTASEMA MKICHOKA MTALALA TENA KIFUDI FUDI WENYEWE BILA YA NGUO MCHANA KWEUPEEEE..NYAU WE..
ReplyDeleteUko sahihi hawa waandishi wengine ni vichwa Maji tu
Delete