Lipumba: Inakuaje Syria Wanapigana Vita Lakini Wanatuzidi kwa Furaha..!!!?


Profesa Lipumba ameshangazwa na ripoti iliyotolewa na umoja wa mataifa ikitaja Tanzania kuwa nchi ya 3 kutoka mwisho kwa furaha huku ikipitwa na nchi kama Burundi na Syria

Amesema hii ianaonyesha tupo katika hali mbaya sana ya maisha hadi tunapitwa na nchi zenye vita

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watanzania siku zote ni watu wa kulalamika furaha hiyo inapatikana wapi. Wasiria waislam wanaamini kupata kuna Mungu kuna haja gani ya kuyachukia maisha kwani ukiwa chuki ndio maisha yatakaa sawa?

    ReplyDelete
  2. Kwa kuwa. Huku matajili wanaofisadi wakibanwa basi Furuhaugen

    Kwa kuwa matajiri wa bongo ni wa kimagumashi, wa kuwanyonya,kuwabana walalahoi na wakiufisadi, wizi, rushwa kwa sasa wote hao wamebanwa furaha itawatokea wapi? Nao walizoea hela za bure bila kuzifanyia kazi, kutwa kutambishia walala hoi, wasiokuwa na furaha, hebu tutoleeni huko hizo furaha za hao vigogo wachache wanao libia Taifa. Ndio maana nchi nyingi za bara hili ziko hoiiiii kama si tiiiii, tena muacheee kujifananisha na nchi zinazojali binadamu wake wote, si masikini au tajili


    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad