Mafuriko Yasababisha Jiji la Dar Kusimama....


Mvua Kubwa iliyonyesha sehemu mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam imepelekea maji kujaa na kusababisha adha ya usafiri.
Mwenge, Sinza na Mlimani City ni baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua hii. Wafanyabiashara Mwenge wamepata hasara baada ya maji kuingia madukani na kuharibu bidhaa.

Barabara za Bagamoyo na Mwai Kibaki(Old Bagamoyo) zimejaa maji na kusababisha foleni na kuwakwamisha wasafiri kwa masaa kadhaa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad