Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amezindua barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja; Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech iliyogharimu takribani milioni 350.
Makonda Arudi Bongo kimya Kimya,Leo Aonekana Kurasini Akizindua Barabara..!!!!
7
March 13, 2017
Tags
hana amani sifa zoote kweshnay. kakaa kama digidigi.
ReplyDeleteuso umemshuka kama mbuzi wa hitma. lete vyetiiii. hana jipyaaaaa!
ReplyDeleteKwani alivyo ondoka aliondoka kwa matarumbeta mpaka arudi kimya kimya?
ReplyDeleteKiko wapi team Mange na Ngwajima mlisema kakimbia inchi for 2 month????? Tangia muanze kusema lete vyeti ingekuwa muajiri wake ana wasikiliza angekua kasha mtimua kazi,,,,,ila ndio kwanza ana piga mzigo kama kawa na mapovu yana watoka,,,,,
ReplyDeleteIngekuwa kila kazi ya utawala ina hitaji vyeti Majeshini kungekuwa hakuna Ma jenerali darasa la saba mtasubiri sana atoe vyeti hata kukaa kimya nako ni jibu pia,,,,
ReplyDeleteUmeonaeeh! Kukaa kimya ni jibu la MJINGA.........watasema-mchana-usiku-watalala
DeleteTehtehteh!Waanze kuomba vyeti jeshini,ndio wataona kumbe hii nchi imeongozwa na wasiosoma lakini walikuwa makini kwelikweli.Tunamtaka makonda hata kama ni darasa la saba.
Delete